mtotoFomu ya usajili itajazwa na kubandikwa picha ya mtoto ya pasipoti. Ambatanisha nakala ya cheti cha kuzaliwa. Nakala ya kitambulisho cha mdhamini wa Mtoto. Kuchangia ni mara mojaMara nyingi wazazi wanapotengana huwa tunashuhudia mabishano ya nani anatakiwa kukaa na mtoto. Ni mama au baba. Kwa suala hilihili wapo watu wako mahakamani